CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 1
Kwenye picha kuna watoto wangapi?
From Kiswahili — Mid Term 1 Assessment 2025 (SET 1) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo
Tazama picha kisha ujibu maswali ya mwalimu. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuongea.

1. Kwenye picha kuna watoto wangapi?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Wawili.
Tazama picha vizuri.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.