CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 20
Ni siku gani Bi. Wambui alipata faida ya chini zaidi?
From Test 82 — Kiswahili Paper 1 Opener Term 3 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma jedwali kisha ujibu swali la 18 hadi la 20.
Bi. Wambui huuza matunda katika soko la Kilgoris. Ana wateja wengi wa kudumu ambao humnunulia matunda yake. Yeye huweka rekodi ya matunda anayouza na kiasi cha faida anachopata kila siku. Jedwali hapo chini linaonyesha mauzo yake kwa wiki moja.
Bi. Wambui huuza matunda katika soko la Kilgoris. Ana wateja wengi wa kudumu ambao humnunulia matunda yake. Yeye huweka rekodi ya matunda anayouza na kiasi cha faida anachopata kila siku. Jedwali hapo chini linaonyesha mauzo yake kwa wiki moja.
| Siku | Embe (kilo) | Ndizi (dazani) | Machungwa (kilo) | Faida (Ksh) |
|---|---|---|---|---|
| Jumatatu | 15 | 8 | 10 | 1,500 |
| Jumanne | 12 | 10 | 15 | 1,800 |
| Jumatano | 20 | 7 | 8 | 1,600 |
| Alhamisi | 18 | 12 | 12 | 2,000 |
| Ijumaa | 25 | 9 | 10 | 2,200 |
| Jumamosi | 30 | 15 | 20 | 3,000 |
| Jumapili | 10 | 5 | 5 | 1,000 |
20. Ni siku gani Bi. Wambui alipata faida ya chini zaidi?
- AA. Jumatatu
- BB. Jumapili
- CC. Jumanne
- DD. Jumatano
Answer
B. B. Jumapili
Jibu sahihi: B. Jumapili.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kukamilisha nafasi ya 21 iliyoachwa kwenye kifungu.Question 21
- Chagua kitenzi sahihi kujaza nafasi ya 22.Question 22
- Chagua neno sahihi kujaza nafasi ya 23.Question 23
- Chagua methali inayofaa kujaza nafasi ya 24.Question 24
- Chagua nahau inayofaa kujaza nafasi ya 25 katika kifungu.Question 25
- Chagua neno lifaalo kujaza nafasi ya 26.Question 26