CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 23
Chagua neno sahihi kujaza nafasi ya 23.
From Test 82 — Kiswahili Paper 1 Opener Term 3 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji
Soma mazungumzo kisha ujibu swali la 21 hadi la 25.
(Ni mchana. Binti aitwaye Neema anatembea akirejea nyumbani kutoka shuleni. Anamwona mzee anayezungumza peke yake chini ya mti, karibu na barabara. Neema anasimama kwa muda akimwangalia kisha anamsogelea kwa tahadhari.)
Neema: (Kwa upole) Shikamoo mzee?
Mzee: (Akishtuka kidogo na kuangalia juu, kisha anatabasamu) Marahaba mwanangu. Umebakia wapi muda huu?
Neema: (Anamjibu kwa heshima) Nimerudi shuleni. Nimekuona hapa nikaamua kukusalimia. Unaonekana una mawazo mengi, Mzee. ___21___
Mzee: (Akipumua) Kweli binti yangu. Nina mawazo. Jana usiku nyumba yangu ___22___ na vitu vyote vikaungua. Sasa sina pa kwenda.
Neema: (Akionyesha huruma) Maskini wewe! Pole sana Mzee. Hilo ni jambo la kusikitisha. Je, kuna yeyote alijeruhiwa?
Mzee: Nashukuru Mungu hakuna. Mimi na familia yangu tulifanikiwa kutoroka. Lakini kila kitu kimeisha.
Neema: Pole tena. Familia yangu inaweza kukusaidia kwa kiasi fulani. Ninyi mnaweza kuishi kwetu kwa ___23___ tukitafuta suluhisho la kudumu. Baba yangu ana moyo wa huruma.
Mzee: (Machozi yakimtoka) Asante sana mwanangu. Mungu akubariki. Hujui umenisaidiaje. Hii ndiyo maana ya ___24___.
Neema: Hakuna shida Mzee. ___25___
(Anamshika mkono kwa upole, kisha wanasimama na kuanza kutembea polepole kuelekea nyumbani kwa Neema.)

23. Chagua neno sahihi kujaza nafasi ya 23.
- AA. kitambo
- BB. wakati
- CC. muda
- DD. mpaka
Answer
C. C. muda
Jibu sahihi: C. muda.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua methali inayofaa kujaza nafasi ya 24.Question 24
- Chagua nahau inayofaa kujaza nafasi ya 25 katika kifungu.Question 25
- Chagua neno lifaalo kujaza nafasi ya 26.Question 26
- Chagua neno lifaalo kujaza nafasi ya 27.Question 27
- Chagua neno lifaalo kujaza nafasi ya 28.Question 28
- Chagua neno lifaalo kujaza nafasi ya 29.Question 29