naQonda

CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 8

c) Kwa kutoa mifano madhubuti, eleza mbinu tatu za lugha zilizotumiwa katika sehemu hii ya novela. (alama 3)

From Test 85 — Kiswahili Paper 2 (KJSEA) · 3 marks · Topic: Fasihi, Novela na Hadithi Fupi

c) Kwa kutoa mifano madhubuti, eleza mbinu tatu za lugha zilizotumiwa katika sehemu hii ya novela. (alama 3)

Answer

Mbinu za lugha ni pamoja na: nahau ('lisilo budi hutendwa', 'himahima'); methali ('mhitaji habagui'); takriri ('vibaya vibaya', 'mara kwa mara'); taswira (maelezo ya ndoto na pambano la kandanda); na onomatopeya ('Dah!').

Angalia jibu la mfano na vigezo vya alama hapo juu.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test