CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 50
Ni ipi sentensi yenye kivumishi cha idadi?
From Kiswahili — First Term Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vivumishi
50. Ni ipi sentensi yenye kivumishi cha idadi?
- ANina kalamu kumi.
- BMti mrefu unatoa kivuli.
- CMtoto mdogo anacheza nje.
- DTulitembea polepole barabarani.
Answer
A. Nina kalamu kumi.
"Kumi" hueleza idadi ya kalamu: ni kivumishi cha idadi.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU A: MAZUNGUMZO 1. Kwa nini tunapaswa kuweka mazingira safi?Question 1
- Mojawapo ya magonjwa yanayosababishwa na uchafu ni:Question 2
- Tunaweza kusaidia kuhifadhi mazingira kwa:Question 3
- Kwa nini ni muhimu kupanda miti?Question 4
- Mtoto alifanya uamuzi gani baada ya mazungumzo na mama yake?Question 5
- SEHEMU B: UFAHAMU 6. Mazingira ni rasilimali muhimu kwa ajili ya:Question 6