naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 45

Ni ipi methali inayokamilisha sentensi hii? Asiyefunzwa na mamaye ...

From Kiswahili — First Term Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali

45. Ni ipi methali inayokamilisha sentensi hii?
Asiyefunzwa na mamaye ...

  1. AHufunzwa na dunia.
  2. BHufunzwa na nyoka.
  3. CHufunzwa na rafiki.
  4. DHufunzwa na upepo.

Answer

A. Hufunzwa na dunia.

Methali kamili ni "Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu (dunia)."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test