CBC Grade 8 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 47
Chagua methali inayohimiza nidhamu na adabu.
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
47. Chagua methali inayohimiza nidhamu na adabu.
- ASamaki mkunje angali mbichi.
- BMcheza kwao hutunzwa.
- CChema chajiuza, kibaya chajitembeza.
- DHaraka haraka haina baraka.
Answer
A. Samaki mkunje angali mbichi.
Malezi mema mapema.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyo na nomino ya wingi.Question 48
- Chagua jibu lenye sentensi ya kukanusha.Question 49
- Chagua usemi wa moja kwa moja wa: Mama alisema kuwa chakula kimepikwa vizuri.Question 50
- Kwa mujibu wa kifungu, wanakijiji wa Mwangaza walijulikana kwa:Question 1
- Ni mabadiliko gani yaliyoathiri mshikamano wa kijiji cha Mwangaza?Question 2
- Kulingana na kifungu, wazee wa kijiji cha Mwangaza walichukua hatua gani kurejesha mshikamano?Question 3