naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29

Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 29.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi kati ya majibu manne uliyopewa baada ya kifungu.
“Mwalimu __26__ vitabu vya kusoma hapa na __27__ vya ziada.” Mkutubi alimweleza Zawadi. “Hakikisha kuwa __28__ kila jioni,” aliendelea mkutubi huyo. __29__ “Ninajua fika kuwa __30__ ujuzi ni bora kuliko kukaa bure.” Zawadi alijibu kwa sauti ya bashasha.
Zawadi __31__ polepole huku amekumbatia rundo la vitabu na kuelekea nyumbani. Katika majuma mawili __32__, Zawadi __33__ mausia ya mwalimu wake. Alisoma kwa makini sana __34__ kucheza ovyo, alijisomea chumbani mwake. __35__ muda wake kwa mambo yasiyo na tija maishani.

29. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 29.

  1. A“Nitazingatia mausia yako, mwalimu.”
  2. B“Nitazingatia mausia yako, mwalimu!”
  3. C“Nitazingatia mausia yako, mwalimu?
  4. D“Nitazingatia mausia yako, mwalimu.

Answer

A. “Nitazingatia mausia yako, mwalimu.”

Alama za kunukuu na kitone sahihi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test