naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 27

Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi kati ya majibu manne uliyopewa baada ya kifungu.
“Mwalimu __26__ vitabu vya kusoma hapa na __27__ vya ziada.” Mkutubi alimweleza Zawadi. “Hakikisha kuwa __28__ kila jioni,” aliendelea mkutubi huyo. __29__ “Ninajua fika kuwa __30__ ujuzi ni bora kuliko kukaa bure.” Zawadi alijibu kwa sauti ya bashasha.
Zawadi __31__ polepole huku amekumbatia rundo la vitabu na kuelekea nyumbani. Katika majuma mawili __32__, Zawadi __33__ mausia ya mwalimu wake. Alisoma kwa makini sana __34__ kucheza ovyo, alijisomea chumbani mwake. __35__ muda wake kwa mambo yasiyo na tija maishani.

27. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.

  1. Akingine
  2. Bmingine
  3. Cvingine
  4. Djingine

Answer

C. vingine

Vitabu (KI-VI): vingine.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test