CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 1
ZOEZI LA 1: INSHA (Alama 15) Mwandikie rafiki yako barua, ukimweleza umuhimu wa kukienzi na kukitumia kiswahili kama lugha ya taifa.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 15 marks · Topic: Kuandika, Barua ya Kirafiki
ZOEZI LA 1: INSHA (Alama 15)
Mwandikie rafiki yako barua, ukimweleza umuhimu wa kukienzi na kukitumia kiswahili kama lugha ya taifa.
Answer
S.L.P. 120, Kitui. 12 Machi 2026. Mpendwa rafiki yangu Amani, Pokea salamu nyingi kutoka kwangu na familia yangu. Natumaini u buheri wa afya na masomo yako yanaendelea vyema. Mimi ni mzima na ninaendelea kujibidiisha shuleni. Lengo la barua hii ni kukueleza umuhimu wa kukienzi na kukitumia Kiswahili kama lugha yetu ya taifa. Kwanza, Kiswahili hutuunganisha Wakenya wote. Nchi yetu ina makabila mengi yenye lugha tofauti, lakini tunapozungumza Kiswahili tunaelewana na kuhisi kuwa wamoja. Pili, Kiswahili ni kitambulisho cha utamaduni wetu wa Kiafrika. Kupitia methali, nahau, hadithi na nyimbo za…
Andika barua ya kirafiki yenye anwani, tarehe, mtajo, utangulizi, hoja za umuhimu wa Kiswahili na hitimisho.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- a) Hii ni aina gani ya hadithi. Eleza (Alama 2)Question 2
- b) Andika sifa za hadithi ya aina hii (Alama 2)Question 3
- c) Ni maudhui gani ambayo yanajitokeza katika hadithi hii (Alama 2)Question 4
- d) Eleza sifa bainifu za Mnana (Alama 2)Question 5
- e) Andika maadili ya hadithi hii (Alama 2)Question 6
- a) Taja wahusika ambao wamerejelewa (Alama 2)Question 7