naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 25

Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 25.

From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 010 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ufahamu wa Mazungumzo

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 21 hadi 25:

(Mzee Juma na Mzee Kazi wanazungumza kuhusu Serikali yao.)

Mzee Juma: __21__ Mzee Kazi? Sijakuona kwa muda.
Mzee Kazi: Niko salama Mzee Juma. __22__ ya Ujenzi inaendelea vizuri sana.
Mzee Juma: Nashukuru sana. Serikali __23__ kuleta maendeleo.
Mzee Kazi: Ni kweli kabisa. Walijaribu __24__ miundombinu. Sasa tuna barabara nzuri.
Mzee Juma: Hili ni jambo jema. Natumai kazi __25__ kwa haraka.

25. Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 25.

  1. Aimeendelea
  2. Bwataendelea
  3. Citaendelea
  4. Dinakwisha

Answer

C. itaendelea

“Natumai” huonyesha jambo la baadaye, na kazi ni ya ngeli ya I-ZI: “Natumai kazi itaendelea kwa haraka.”

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test