naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 24

Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 24.

From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 010 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ufahamu wa Mazungumzo

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 21 hadi 25:

(Mzee Juma na Mzee Kazi wanazungumza kuhusu Serikali yao.)

Mzee Juma: __21__ Mzee Kazi? Sijakuona kwa muda.
Mzee Kazi: Niko salama Mzee Juma. __22__ ya Ujenzi inaendelea vizuri sana.
Mzee Juma: Nashukuru sana. Serikali __23__ kuleta maendeleo.
Mzee Kazi: Ni kweli kabisa. Walijaribu __24__ miundombinu. Sasa tuna barabara nzuri.
Mzee Juma: Hili ni jambo jema. Natumai kazi __25__ kwa haraka.

24. Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 24.

  1. Akujenga
  2. Bkujengana
  3. Ckujengewa
  4. Dkujengeka

Answer

A. kujenga

“Walijaribu kujenga miundombinu”: wao ndio waliotenda kitendo cha kujenga.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test