naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 27

Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 27.

From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Kifungu kifuatacho kina nafasi 18 hadi 27. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.

Familia ya Bw. Omari iliishi karibu na msitu mkubwa. Bw. Omari alikuwa ___(18)___ katika kijiji chao, akijulikana ___(19)___ upendo wake kwa wanyama. Kila asubuhi, ___(20)___ kwenda shambani, alipitia msituni na kuwapelekea ___(21)___ wadogo maji na chakula.

Siku ___(22)___, kulikuwa na ukame mkali. Mto ulianza ___(23)___, na mimea ilikauka. Wanyama msituni walianza ___(24)___ na kutafuta maji na chakula. Bw. Omari aliona jinsi wanyama walivyoteseka. ___(25)___ aliamua kuchimba kisima kirefu karibu na kingo ___(26)___ msitu. Alitumia nguvu zake ___(27)___ kuchimba, na hatimaye, maji safi yakapatikana. Wanyama walijitokeza kutoka msituni na kunywa maji. Bw. Omari alifurahi sana kuona akisaidia viumbe wengine.

27. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 27.

  1. Azake zote
  2. Bzao zote
  3. Czake chache
  4. Dza wengine

Answer

A. zake zote

Alitumia nguvu zake zote: zake kwa Bw. Omari mmoja, na zote kuonyesha bidii.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test