CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 22
Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 22.
From Kiswahili — Assessment June 2025 (Set 11) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kina nafasi 18 hadi 27. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.
Familia ya Bw. Omari iliishi karibu na msitu mkubwa. Bw. Omari alikuwa ___(18)___ katika kijiji chao, akijulikana ___(19)___ upendo wake kwa wanyama. Kila asubuhi, ___(20)___ kwenda shambani, alipitia msituni na kuwapelekea ___(21)___ wadogo maji na chakula.
Siku ___(22)___, kulikuwa na ukame mkali. Mto ulianza ___(23)___, na mimea ilikauka. Wanyama msituni walianza ___(24)___ na kutafuta maji na chakula. Bw. Omari aliona jinsi wanyama walivyoteseka. ___(25)___ aliamua kuchimba kisima kirefu karibu na kingo ___(26)___ msitu. Alitumia nguvu zake ___(27)___ kuchimba, na hatimaye, maji safi yakapatikana. Wanyama walijitokeza kutoka msituni na kunywa maji. Bw. Omari alifurahi sana kuona akisaidia viumbe wengine.
22. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 22.
- Anyingi
- Bmmoja
- Cfulani
- Dzingine
Answer
C. fulani
Siku ni nomino ya ngeli ya I-ZI, kwa hiyo tunasema "siku fulani" (au "siku moja"); "siku mmoja" si sahihi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 23.Question 23
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 24.Question 24
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 25.Question 25
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 26.Question 26
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 27.Question 27
- Ni rangi ngapi ziko kwenye bendera yetu kulingana na ushairi?Question 28