CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 26
Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa: “Wanafunzi walipanda miti mingi.” (alama 1)
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sarufi
26. Badili sentensi ifuatayo iwe katika kauli ya kutendwa:
“Wanafunzi walipanda miti mingi.” (alama 1)
Answer
Miti mingi ilipandwa na wanafunzi.
Kitendwa huanza na kilichotendwa: miti.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi: “Tutaendelea kulinda mazingira yetu.” (alama 1)Question 27
- SEHEMU E: 28. (a) Taja tofauti tatu kati ya hadithi fupi na riwaya. (alama 3)Question 28
- (b) Tofautisha ngonjera na shairi. (alama 2)Question 29
- (c) Taja sifa nne za hadithi simulizi. (alama 4)Question 30
- (d) Taja sifa tatu za shairi. (alama 3)Question 31
- a) Eleza sifa mbili za Halima kulingana na dondoo. (alama 2)Question 32