naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 29

(b) Tofautisha ngonjera na shairi. (alama 2)

From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 2 marks · Topic: Kusoma, Fasihi

(b) Tofautisha ngonjera na shairi. (alama 2)

Answer

Ngonjera ni shairi la majibizano kati ya watu wawili au zaidi, lakini shairi la kawaida huwasilishwa na mtu mmoja.

Ngonjera ni ya kujibizana.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test