naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 44

b) Taja kinyume cha kitenzi kilichopigiwa mstari katika Y. (Alama 1)

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vinyume vya Vitenzi

Soma sentensi zifuatazo kisha ujibu maswali. (Vitenzi vilivyopigiwa mstari viko kwenye mabano.)
X: Daktari [anampa] mgonjwa dawa.
Y: Mgonjwa [anaingia] nyumbani baada ya kupona.

13. b) Taja kinyume cha kitenzi kilichopigiwa mstari katika Y. (Alama 1)

Answer

anatoka

Ingia – toka.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test