CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 50
d) Hali ya ukubwa wa neno “ndege” ni ipi? (Alama 1)
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukubwa na Udogo
14. d) Hali ya ukubwa wa neno “ndege” ni ipi? (Alama 1)
Answer
dege
Ndege – dege – kidege.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- a) Taja nomino ya ngeli ya YA-YA iliyotumika katika sentensi hiyo. (Alama 1)Question 1
- b) Andika viambishi vyote vya ngeli ya YA-YA vilivyotumika katika sentensi hiyo, pamoja na maneno yaliyovibeba. (Alama…Question 2
- c) Tunga sentensi mpya ya ubunifu wako mwenyewe ukitumia nomino nyingine ya ngeli ya YA-YA unayoijua pamoja na…Question 3
- a) Mtoto wa miaka saba anapaswa kulala saa ngapi kila usiku? (Alama 1)Question 4
- b) Taja dalili mbili za mtoto asiyepata usingizi wa kutosha. (Alama 1)Question 5
- c) Kwa nini mtoto anayekosa usingizi hupata alama mbaya shuleni? (Alama 1)Question 6