CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2025 · Question 23
e. Nimeketi ___ rafiki yangu.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2025 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi, Vihusishi
e. Nimeketi ______ rafiki yangu.
- Ajuu ya
- Bkaribu na
- Cndani ya
- Dmbali na
- Emvunguni mwa
Answer
B. karibu na
Nimeketi karibu na rafiki yangu.