CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 2
Taja kazi moja wanayofanya wakati wa usafi. (Alama 2)
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) — Kusikiliza na Kuzungumza · 2 marks · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Sikiliza kifungu na swali (unaweza kusikiliza mara mbili), kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa sauti.
2. Taja kazi moja wanayofanya wakati wa usafi. (Alama 2)
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Hukusanya taka zilizotapakaa.
Kazi zimetajwa katika sentensi ya pili.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.