CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026: Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) — Kusikiliza na Kuzungumza
Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) — Kusikiliza na Kuzungumza · Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) — Kusikiliza na Kuzungumza · 11 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma.
All 11 questions with answers
- Question 1: Juma na dada yake husafisha mazingira ya wapi? (Alama 2)Answer: Husafisha mazingira ya shule yao.
- Question 2: Taja kazi moja wanayofanya wakati wa usafi. (Alama 2)Answer: Hukusanya taka zilizotapakaa.
- Question 3: Kwa nini humwagilia miti? (Alama 2)Answer: Ili ikue vizuri.
- Question 4: Kwa nini mwalimu huwasifu? (Alama 2)Answer: Kwa kuwa ni mfano mzuri kwa wanafunzi wengine.
- Question 5: Kwa nini ni muhimu kutunza mazingira? (Alama 2)Answer: Mazingira safi huwafanya watu waishi kwa afya njema na kufurahia sehemu wanazoishi.
- Question 6: Soma sentensi hii kwa sauti.Answer: Mama alipika chakula kitamu kwa ajili ya wageni.
- Question 7: Soma sentensi hii kwa sauti.Answer: Wanafunzi walimwagilia miti baada ya masomo.
- Question 8: Soma sentensi hii kwa sauti.Answer: Kuku walikimbia haraka walipoona mbweha.
- Question 9: Soma sentensi hii kwa sauti.Answer: Tunapaswa kuheshimu sheria za barabarani kila siku.
- Question 10: Soma sentensi hii kwa sauti.Answer: Mvua ilipoanza kunyesha, watoto waliingia darasani.
- Question 11: Soma kifungu hiki kwa sauti.Answer: ZIARA KWENYE KIWANDA CHA MAZIWA Siku moja wanafunzi wa Gredi ya Nne kutoka Shule ya Msingi ya Tumaini…