CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 7
Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
From Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 11A) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · 20 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Ng’ombe jike hutupa maziwa. Maziwa haya hutumika kupikia chai mbali na kunywewa. Jibini ambayo ni chakula kitamu kwetu hutengenezwa kutokana na maziwa. Mbali na nyama, ngozi na maziwa, wanyama hawa wanauzwa pia. Fedha kutokana na mauzo haya huweza kutumika kulipa karo pamoja na matumizi mengine. Ngombe dume hutumiwa kulima mashambani. Wanyama hawa pia hutupa samadi ambayo tunatumia kama mbolea.
Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
Answer
Ng’ombe ni wanyama ambao sote twawajua. Wanyama hawa ni miongoni mwa wanaofugwa na binadamu. Walianza kufugwa zamani sana. Wanyama hawa wana manufaa tele kwetu. Kwanza kabisa ng’ombe huchinjwa ili tupate nyama. Nyama ya ng’ombe huuzwa katika mabucha mengi kote nchini. Ngozi yao pia hutumika kutengeneza bidhaa kadha wa kadha kama vile, viatu pamoja na kanda zinazofungwa viunoni. Ng’ombe jike hutupa maziwa. Maziwa haya hutumika kupikia chai mbali na kunywewa. Jibini ambayo ni chakula kitamu kwetu hutengenezwa kutokana na maziwa. Mbali na nyama, ngozi na maziwa, wanyama hawa wanauzwa pia. Fedha…
Soma kwa ufasaha na kwa sauti inayosikika; tamka vizuri maneno kama twawajua, mabucha, zinazofungwa, kunywewa, jibini na samadi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- a). Taja majina ya vitu vilivyo katika picha i hadi viii.Question 1
- b). Jibu maamkuzi yafuatayo: i) ShikamooQuestion 2
- b). Jibu maamkuzi yafuatayo: ii) HujamboQuestion 3
- b). Jibu maamkuzi yafuatayo: iii) Habari za nyumbaniQuestion 4
- b). Jibu maamkuzi yafuatayo: iv) AlamsikiQuestion 5
- b). Jibu maamkuzi yafuatayo: v) Lala salamaQuestion 6