CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025: Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 11A) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma
Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 11A) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 11A) — Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma · 7 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma.
All 7 questions with answers
- Question 1: a). Taja majina ya vitu vilivyo katika picha i hadi viii.Answer: i) mayai ii) viatu iii) samaki iv) maziwa v) karoti vi) rula vii) rinda viii) themanini
- Question 2: b). Jibu maamkuzi yafuatayo: i) ShikamooAnswer: Marahaba
- Question 3: b). Jibu maamkuzi yafuatayo: ii) HujamboAnswer: Sijambo
- Question 4: b). Jibu maamkuzi yafuatayo: iii) Habari za nyumbaniAnswer: Njema
- Question 5: b). Jibu maamkuzi yafuatayo: iv) AlamsikiAnswer: Binuru
- Question 6: b). Jibu maamkuzi yafuatayo: v) Lala salamaAnswer: Nawe pia
- Question 7: Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.Answer: Ng’ombe ni wanyama ambao sote twawajua. Wanyama hawa ni miongoni mwa wanaofugwa na binadamu. Walianza…