CBC Grade 5 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 5
Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) — Kusoma (Kusikiliza na Kuzungumza) · 20 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Maziwa pia hutumiwa kutengeneza siagi. Jibini hizi ni tamu sana. Kondoo hutupa sufu ambazo hutumiwa kutengeneza fulana. Maziwa ya mbuzi ni mazuri sana. Ngamia hutumiwa kubebea mizigo. Maziwa yake pia hunywewa na watu wengine huamini kuwa ni dawa. Wanyama wote wanahitaji kutunzwa. Sharti waishi mahali safi na wapewe chakula cha kutosha ili wawe na afya nzuri.
Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
Answer
Wanyama wanaofugwa huitwa mifugo. Wanyama hawa ni kama mbuzi, kondoo, ng'ombe, ngamia na punda. Wanyama hawa wana faida nyingi sana. Mfugaji huwakamua ng'ombe ambao humpa maziwa ambayo humpa pesa nyingi akiyauza. Maziwa pia hutumiwa kutengeneza siagi. Jibini hizi ni tamu sana. Kondoo hutupa sufu ambazo hutumiwa kutengeneza fulana. Maziwa ya mbuzi ni mazuri sana. Ngamia hutumiwa kubebea mizigo. Maziwa yake pia hunywewa na watu wengine huamini kuwa ni dawa. Wanyama wote wanahitaji kutunzwa. Sharti waishi mahali safi na wapewe chakula cha kutosha ili wawe na afya nzuri.
Soma kwa ufasaha bila kusita, tamka maneno magumu kwa usahihi na uzingatie vituo na koma.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.