CBC Grade 5 Kiswahili End Term 2 Exam 2026: End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) — Kusoma (Kusikiliza na Kuzungumza)
Kiswahili — End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) — Kusoma (Kusikiliza na Kuzungumza) · End Term 2 Assessment 2026 (Set 11) — Kusoma (Kusikiliza na Kuzungumza) · 5 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma.
All 5 questions with answers
- Question 1: Majina mengine yenye maana sawa na kandanda ni yapi?Answer: Soka, ngozi na kabumbu.
- Question 2: Mchezo wa soka huchezwa na watu wangapi kila upande?Answer: Watu kumi na mmoja.
- Question 3: Kandanda hupendwa na kuchezwa wapi?Answer: Kote duniani.
- Question 4: Zamani mchezo huu ulichezwa na nani?Answer: Wanaume pekee.
- Question 5: Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.Answer: Wanyama wanaofugwa huitwa mifugo. Wanyama hawa ni kama mbuzi, kondoo, ng'ombe, ngamia na punda. Wanyama hawa…