naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9

Soma kifungu kifuatacho kwa sauti inayofaa.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) — Kusikiliza na Kuzungumza · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Mazingira ni vitu ambavyo vinapotikana karibu na sisi. Elimu ya mazingira huwafunza watu umuhimu wa kutunza vyanzo vya maji, misitu na viumbe hai. Jamii hujifunza mbinu bora za kudhibiti taka kama vile kurejesha bidhaa zilizotumika na kupunguza matumizi ya plastiki. Mazingira safi ni msingi wa afya bora. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kupanda miti na kuzuia ukataji ovyo wa misitu. Tukifanya hivi, tunapunguza majanga kama ukame, ukosefu wa vyakula na tunaishi kwa mandhari ya kupendeza.

Soma kifungu kifuatacho kwa sauti inayofaa.

Answer

Mazingira ni vitu ambavyo vinapotikana karibu na sisi. Elimu ya mazingira huwafunza watu umuhimu wa kutunza vyanzo vya maji, misitu na viumbe hai. Jamii hujifunza mbinu bora za kudhibiti taka kama vile kurejesha bidhaa zilizotumika na kupunguza matumizi ya plastiki. Mazingira safi ni msingi wa afya bora. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kupanda miti na kuzuia ukataji ovyo wa misitu. Tukifanya hivi, tunapunguza majanga kama ukame, ukosefu wa vyakula na tunaishi kwa mandhari ya kupendeza.

Soma kwa sauti inayosikika na mwendo unaofaa, tamka maneno vizuri na usimame kwenye vituo.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test