CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 6) — Kusikiliza na Kuzungumza
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) — Kusikiliza na Kuzungumza · Revision 2026 (Booklet 6) — Kusikiliza na Kuzungumza · 9 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma.
All 9 questions with answers
- Question 1: Ni nini maana ya maadili?Answer: Maadili ni mfumo wa tabia, kanuni na miongozo inayomsaidia mtu kutofautisha jema na baya.
- Question 2: Taja vyanzo vitatu vya maadili tangu utotoni.Answer: Malezi ya wazazi, dini na mazingira yanayomzunguka.
- Question 3: Tambua sifa moja ya mtu mwenye maadili mema.Answer: Ana heshima katika kauli zake.
- Question 4: Maadili husaidia kwa nini gani?Answer: Husaidia kudumisha amani na utulivu katika jamii.
- Question 5: Taja vitu viwili ambavyo maadili huzuia.Answer: Ubadhirifu na uongo.
- Question 6: a. Ni nini maana ya uwekezaji? (alama 2)Answer: Uwekezaji ni kitendo cha kutenga fedha kwa matarajio ya kupata faida baadaye.
- Question 7: b. Taja mifano miwili ya maeneo ambayo mtu anaweza kuwekeza fedha zake. (alama 2)Answer: Ardhi na biashara.
- Question 8: c. Ni nini husaidia kupunguza hasara katika uwekezaji? (alama 1)Answer: Mipango mizuri na elimu ya kifedha.
- Question 9: Soma kifungu kifuatacho kwa sauti inayofaa.Answer: Mazingira ni vitu ambavyo vinapotikana karibu na sisi. Elimu ya mazingira huwafunza watu umuhimu wa kutunza…