CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 7
Kusoma Soma kifungu hiki kwa sauti.
From Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 9) (Kusikiliza na Kuzungumza) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
“Mmebeba kalamu na madaftari ya kuandikia mambo muhimu kule kanisani?” Baba yao akawauliza.
“Ndio baba, tumebeba kalamu na madaftari,” Hali na Mali wakamjibu kwa pamoja.
“Nyinyi ni watoto wazuri. Nilidhani hamjabeba kalamu na madaftari,” mama yao akawaambia.
“Asante mama,” Hali na Mali wanamjibu. Hali na Mali wanapenda kusoma.
Kusoma
Soma kifungu hiki kwa sauti.
Answer
Kanisani na nyumbani kwa kina Hali na Mali si mbali sana. “Mmebeba kalamu na madaftari ya kuandikia mambo muhimu kule kanisani?” Baba yao akawauliza. “Ndio baba, tumebeba kalamu na madaftari,” Hali na Mali wakamjibu kwa pamoja. “Nyinyi ni watoto wazuri. Nilidhani hamjabeba kalamu na madaftari,” mama yao akawaambia. “Asante mama,” Hali na Mali wanamjibu. Hali na Mali wanapenda kusoma.
Soma kila neno wazi, kama vile kanisani, madaftari, muhimu, wakamjibu na nilidhani. Simama kidogo kwenye koma na vituo, na usome maneno ya wahusika kwa sauti inayofaa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.