CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 2 2025: Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 9) (Kusikiliza na Kuzungumza)
Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 9) (Kusikiliza na Kuzungumza) · Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 9) (Kusikiliza na Kuzungumza) · 7 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kusoma.
All 7 questions with answers
- Question 1: 1 a). Tamka maneno haya. Bonyeza kurekodi kisha utamke kila jozi ya maneno.Answer: papa, baba; toa, doa; kuku, gugu; chana, jana; bibi, pipi — kila neno limetamkwa wazi.
- Question 2: (i) Hujambo?Answer: Sijambo.
- Question 3: (ii) Uhali gani?Answer: Njema.
- Question 4: (iii) Umeshindaje?Answer: Salama.
- Question 5: (iv) Usiku mwema.Answer: Nawe pia.
- Question 6: (v) Kwaheri!Answer: Kwaheri ya kuonana.
- Question 7: Kusoma Soma kifungu hiki kwa sauti.Answer: Kanisani na nyumbani kwa kina Hali na Mali si mbali sana. “Mmebeba kalamu na madaftari ya kuandikia mambo…