CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 7
Soma sentensi zifuatazo kwa sauti.
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 8) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Wanataka kuanza safari.
Unachora mistari kitabuni.
Anasema anapenda matunda.
Wanaokota karatasi zilizotapakaa.
Tulikuwa tunaenda dukani.
Unachora mistari kitabuni.
Anasema anapenda matunda.
Wanaokota karatasi zilizotapakaa.
Tulikuwa tunaenda dukani.
Soma sentensi zifuatazo kwa sauti.
Answer
Wanataka kuanza safari. Unachora mistari kitabuni. Anasema anapenda matunda. Wanaokota karatasi zilizotapakaa. Tulikuwa tunaenda dukani.
Soma kila sentensi wazi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.