CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 6
ZOEZI LA 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 8) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Kondoo alijiangalia kwenye kioo. Hakuamini kuwa alikuwa mrembo. Alitaka kwenda katika sherehe. Binti wa ndovu alikuwa aolewe na mwana nyati. Kondoo alipoanza mwendo, alikumbuka kuwa yeye tu ndiye aliyekuwa mnyama wa nyumbani. Hapo, akarudi na kuketi chini ya mti kwa masikitiko.
ZOEZI LA 2: KUSOMA KWA SAUTI
Soma kifungu hiki kwa sauti.
Answer
Kondoo alijiangalia kwenye kioo. Hakuamini kuwa alikuwa mrembo. Alitaka kwenda katika sherehe. Binti wa ndovu alikuwa aolewe na mwana nyati. Kondoo alipoanza mwendo, alikumbuka kuwa yeye tu ndiye aliyekuwa mnyama wa nyumbani. Hapo, akarudi na kuketi chini ya mti kwa masikitiko.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.