CBC Grade 3 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 31
a) Onyando na Nyakora walienda kucheza wapi?
From Kiswahili — KEYA 2025 Predictions (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Onyando na Nyakora walienda kucheza uwanjani. Onyando alikuwa na mpira lakini Nyakora alikuwa na kamba. Walianza mchezo kwa kuruka kamba. Walipochoka na hiyo walianza kucheza mpira.
Baada ya muda mfupi, Musa na Juma pia wakaungana nao. Wavulana wote wanne wakacheza mpira kwa furaha
a) Onyando na Nyakora walienda kucheza wapi?
Answer
uwanjani
Walienda kucheza uwanjani.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.