naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 35

e) Ni wavulana wangapi walicheza mpira kwa pamoja?

From Kiswahili — KEYA 2025 Predictions (Set 15) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Onyando na Nyakora walienda kucheza uwanjani. Onyando alikuwa na mpira lakini Nyakora alikuwa na kamba. Walianza mchezo kwa kuruka kamba. Walipochoka na hiyo walianza kucheza mpira.
Baada ya muda mfupi, Musa na Juma pia wakaungana nao. Wavulana wote wanne wakacheza mpira kwa furaha

e) Ni wavulana wangapi walicheza mpira kwa pamoja?

Answer

wanne

Wavulana wote wanne walicheza mpira.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test