CBC Grade 2 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 9
ZOEZI LA PILI: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
ZOEZI LA PILI: KUSOMA KWA SAUTI
Soma kifungu hiki kwa sauti.
Answer
Musa na Mara ni wanafunzi wa gredi ya pili samawati. Sare zao za shule ni safi. Wanatumia penseli kuchora michoro ya kila aina. Michoro hii wanaipaka rangi. Musa anachora ndoo kubwa ya maji. Mara anachora bustani kubwa ya maua. Wakimaliza kuchora na kupaka rangi, watatundika michoro hiyo ukutani. Wao walipewa zawadi shuleni kwa sababu ni wachoraji hodari. Mwalimu mkuu Bwana Tonny aliwahimiza kukuza vipawa vyao.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- ZOEZI LA TATU: MATUMIZI YA LUGHA Tumia "wako", "yenu" au "wenu" kujaza nafasi. a) Madaktari ___ wamefika.Question 10
- b) Mfuko ___ umeoshwa.Question 11
- c) Maduka ___ yamefunguliwa.Question 12
- Jibu salamu zifuatazo d) Shikamoo?Question 13
- e) Alamsiki?Question 14
- Andika maneno mawili ukitumia silabi de- f) 1.Question 15