CBC Grade 2 Kiswahili End Term 1 Exam 2025: End Term 1 Assessment 2025 (Set 6)
Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · End Term 1 Assessment 2025 (Set 6) · 25 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 25 questions with answers
- Question 1: ZOEZI LA KWANZA: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Sehemu ya kwanza 1. Jitambulishe kwa kusema jina lako.Answer: Jina langu ni Amani.
- Question 2: Uko katika gredi ya ngapi?Answer: Niko katika gredi ya pili.
- Question 3: Taja vifaa viwili vya darasani.Answer: Kitabu na kalamu.
- Question 4: Eleza matumizi ya vifaa ulivyotaja.Answer: Kitabu hutumika kusoma na kalamu hutumika kuandika.
- Question 5: Sehemu ya pili 1. Hadithi hii inamhusu nani?Answer: Pendo.
- Question 6: Pendo alisomea shule ipi?Answer: Shule ya Bidii.
- Question 7: Ni vitu vipi vinapatikana katika shule ya Bidii kulingana na hadithi uliyosomewa?Answer: Madarasa, ofisi, vyoo safi, bweni na uwanja.
- Question 8: Unafikiri wanafunzi walipenda kucheza michezo gani?Answer: Kandanda (mpira wa miguu).
- Question 9: ZOEZI LA PILI: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.Answer: Musa na Mara ni wanafunzi wa gredi ya pili samawati. Sare zao za shule ni safi. Wanatumia penseli kuchora…
- Question 10: ZOEZI LA TATU: MATUMIZI YA LUGHA Tumia "wako", "yenu" au "wenu" kujaza nafasi. a) Madaktari ___ wamefika.Answer: C. wenu
- Question 11: b) Mfuko ___ umeoshwa.Answer: A. wako
- Question 12: c) Maduka ___ yamefunguliwa.Answer: B. yenu
- Question 13: Jibu salamu zifuatazo d) Shikamoo?Answer: Marahaba.
- Question 14: e) Alamsiki?Answer: Binuru.
- Question 15: Andika maneno mawili ukitumia silabi de- f) 1.Answer: debe
- Question 16: f) 2.Answer: dereva
- Question 17: g) Leo ni Jumanne, jana ilikuwa siku gani?Answer: Jumatatu
- Question 18: h) Kati ya majina haya, daftari, penseli, kitabu, rafu, dawati na uma, ni jina gani ambalo halifai kwenye orodha?Answer: F. uma
- Question 19: ZOEZI LA NNE: IMLA Andika maneno utakayosomewa na mwalimu. 1.Answer: shule
- Question 20: 2.Answer: penseli
- Question 21: 3.Answer: rangi
- Question 22: 4.Answer: uwanja
- Question 23: 5.Answer: zawadi
- Question 24: 6.Answer: maua
- Question 25: SEHEMU B: INSHA Andika insha kuhusu: MWALIMU WANGU Unaweza kutumia jina la kubuni.Answer: Mwalimu wangu anaitwa Bi. Achieng. Anatufundisha Kiswahili na Hisabati. Yeye ni mpole na mwenye bidii.…