CBC Grade 2 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 13
Maua ___ yananukia vizuri.
From Kiswahili — End Term 1 Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Upatanisho wa Kisarufi
Tumia "yale" au "zile" kujaza mapengo.
16. Maua _______ yananukia vizuri.
- Ayale
- Bzile
Answer
A. yale
Maua ni ya ngeli ya YA (maua yananukia), hivyo tunasema "maua yale".