CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 3 Exam 2025 · Question 13
Kanusha sentensi hizi. a) Wewe ulisoma.
From Kiswahili — Mid-Term Assessment 2025 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
1. Kanusha sentensi hizi.
a) Wewe ulisoma.
Answer
Wewe hukusoma.
Kukanusha "Wewe ulisoma." ni "Wewe hukusoma."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.