CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 48
Kensaro na Sifa walikuwa wapi mvua iliponyesha?
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 10, series B) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
SEHEMU YA K: KUSOMA UFAHAMU
Soma kifungu kisha ujibu maswali.
Siku moja mvua kubwa ilinyesha. Kensaro na Sifa walikuwa shuleni. Usafiri ulitatizika. Jioni Kensaro na Sifa waliamua kutembea. Mto ulikuwa umejaa na kufurika. Sifa aliteleza na kuanguka mtoni. Kwa bahati nzuri, wasamaria wema walimwokoa.
1. Kensaro na Sifa walikuwa wapi mvua iliponyesha?
Answer
shuleni
Kifungu kinasema: shuleni.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.