CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 51
Nani aliteleza na kuanguka mtoni?
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 10, series B) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
SEHEMU YA K: KUSOMA UFAHAMU
Soma kifungu kisha ujibu maswali.
Siku moja mvua kubwa ilinyesha. Kensaro na Sifa walikuwa shuleni. Usafiri ulitatizika. Jioni Kensaro na Sifa waliamua kutembea. Mto ulikuwa umejaa na kufurika. Sifa aliteleza na kuanguka mtoni. Kwa bahati nzuri, wasamaria wema walimwokoa.
4. Nani aliteleza na kuanguka mtoni?
Answer
Sifa
Kifungu kinasema: Sifa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Aliyeanguka mtoni alisaidiwa na nani?Question 52
- KUSOMA 3. Soma maneno haya:Question 1
- Soma sentensi hizi:Question 2
- Sehemu ya A: Kuandika Andika maneno mwalimu atakayotaja. 1.Question 3
- Sehemu ya B: Tenganisha silabi katika maneno yafuatayo: a) jinoQuestion 8
- Sehemu ya C: Andika kwa herufi kubwa a) busaraQuestion 13