CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 34
KUSOMA Soma hadithi kwa sauti:
From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Shule yetu inaitwa shule ya msingi ya Tunaweza. Shule hii ina wanafunzi wengi. Kila mwanafunzi huvaa sare safi.
Mwalimu wangu wa gredi ya pili anaitwa Bwana Bahati. Tukiwa kwenye gwaride, Bwana Bahati hutufunza kudumisha amani na upendo.
Mwalimu wangu wa gredi ya pili anaitwa Bwana Bahati. Tukiwa kwenye gwaride, Bwana Bahati hutufunza kudumisha amani na upendo.
KUSOMA
Soma hadithi kwa sauti:
Answer
Shule yetu inaitwa shule ya msingi ya Tunaweza. Shule hii ina wanafunzi wengi. Kila mwanafunzi huvaa sare safi. Mwalimu wangu wa gredi ya pili anaitwa Bwana Bahati. Tukiwa kwenye gwaride, Bwana Bahati hutufunza kudumisha amani na upendo.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.