naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 33

Watoto hawaruhusiwi kufanya kazi ya ___

From Kiswahili — Revision Paper 4 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Soma hadithi kisha ujibu maswali

Haki za watoto zinamlinda kila mtoto. Zinamlinda kutokana na mateso mbalimbali.
Watoto hawaruhusiwi kufanya kazi ya kulipwa. Hawafai kuteswa. Ni makosa kuwaadhibu watoto kwa kuwachapa. Watoto pia wana haki ya kulindwa vizuri. Wanafaa kupata matibabu bora, mavazi na kuelimishwa.

35. Watoto hawaruhusiwi kufanya kazi ya ____

Answer

kulipwa

Hadithi inasema: kulipwa.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test