CBC Grade 1 Kiswahili Exam Term 2 · Question 32
Soma kifungu hiki kwa sauti na rekodi usomaji wako.
From Kiswahili — Term 2 Progress Assessment · 10 marks · Topic: Mwili Wangu, Kusoma kwa Ufasaha Sauti (/s/, /b/, /y/, /z/, /g/, /d/)
Maneno ya Heshima
Mwalimu wetu alitufunza maneno ya heshima kama vile pole, asante, tafadhali na nisamehe. Alituhimiza tuyatumie kila siku. Tulifurahi kujifunza maneno hayo.
Mwalimu wetu alitufunza maneno ya heshima kama vile pole, asante, tafadhali na nisamehe. Alituhimiza tuyatumie kila siku. Tulifurahi kujifunza maneno hayo.
Soma kifungu hiki kwa sauti na rekodi usomaji wako.
Answer
Jibu lako litapimwa kwa uangalifu. Ikiwa mfumo hauna uhakika, mwalimu atalipitia ili upate alama ya haki.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.