CBC Grade 1 Kiswahili Exam Term 2 · Question 4
Shangazi anaishi wapi?
From Kiswahili — Term 2 Progress Assessment · 2 marks · Topic: Mimi na Wenzangu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Shangazi Rukia
Shangazi yangu anaitwa Rukia. Ni dada wa baba yangu. Anaishi Umoja. Ana watoto watatu; mvulana mmoja na wasichana wawili. Watoto hao ni binamu zangu.
Shangazi yangu anaitwa Rukia. Ni dada wa baba yangu. Anaishi Umoja. Ana watoto watatu; mvulana mmoja na wasichana wawili. Watoto hao ni binamu zangu.
Shangazi anaishi wapi?
Answer
umoja
Jibu sahihi ni umoja.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Watoto wa shangazi ni nani kwangu?Question 5
- Chora penseli kwenye kisanduku. Tumia penseli ya kuchorea kuchora penseli. Mfumo wa AI utaangalia mchoro wako kwa…Question 6
- Chora mpira kwenye kisanduku. Tumia penseli ya kuchorea kuchora mpira. Mfumo wa AI utaangalia mchoro wako kwa uangalifu.Question 7
- Chora kikombe kwenye kisanduku. Tumia penseli ya kuchorea kuchora kikombe. Mfumo wa AI utaangalia mchoro wako kwa…Question 8
- Ni nani mnyama mjanja?Question 9
- Sungura hapendi kufanya nini?Question 10