CBC Grade 1 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 31
Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Mimi ni Eva mwanafunzi wa gredi la kwanza shule ya Nehema. Tuko wanafunzi ishirini kwa darasa. Mwalimu wetu huitwa Lea na…
From Kiswahili End Term 2 (2025) · 1 mark · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma ufahamu huu kisha ujibu swali.
Mimi ni Eva mwanafunzi wa gredi la kwanza shule ya Nehema. Tuko wanafunzi ishirini kwa darasa. Mwalimu wetu huitwa Lea na kila mara tufikapo hutusalimu hamjambo, kisha anajukua vitabu vyetu kusahisha kazi alilotupa tufanye nyumbani. Ni mwalimu wa somo la Kiswahili.
Mtu akikusalimia 'Jambo', unajibu nini?
Answer
Sijambo
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Mimi ni Eva mwanafunzi wa gredi la kwanza shule ya Nehema. Tuko wanafunzi ishirini…Question 32
- Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Mimi ni Eva mwanafunzi wa gredi la kwanza shule ya Nehema. Tuko wanafunzi ishirini…Question 33
- Mwalimu: Jambo? Jibu kwa sauti.Question 1
- Mwalimu: Kwa majina unaitwaje? Jibu kwa sauti.Question 2
- Mwalimu: Je, unapenda kusafiri kutumia chombo gani? Jibu kwa sauti.Question 3
- Mwalimu: Taja chombo kimoja cha usafiri majini kwa sauti.Question 4