CBC Grade 1 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 33
Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Mimi ni Eva mwanafunzi wa gredi la kwanza shule ya Nehema. Tuko wanafunzi ishirini kwa darasa. Mwalimu wetu huitwa Lea na…
From Kiswahili End Term 2 (2025) · 1 mark · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma ufahamu huu kisha ujibu swali.
Mimi ni Eva mwanafunzi wa gredi la kwanza shule ya Nehema. Tuko wanafunzi ishirini kwa darasa. Mwalimu wetu huitwa Lea na kila mara tufikapo hutusalimu hamjambo, kisha anajukua vitabu vyetu kusahisha kazi alilotupa tufanye nyumbani. Ni mwalimu wa somo la Kiswahili.
Umoja wa neno 'vitabu' ni nini?
Answer
kitabu
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Mwalimu: Jambo? Jibu kwa sauti.Question 1
- Mwalimu: Kwa majina unaitwaje? Jibu kwa sauti.Question 2
- Mwalimu: Je, unapenda kusafiri kutumia chombo gani? Jibu kwa sauti.Question 3
- Mwalimu: Taja chombo kimoja cha usafiri majini kwa sauti.Question 4
- Mwalimu: Taja jina moja la kidole kwa sauti.Question 5
- Soma kifungu hiki kwa sauti, kwa Kiswahili:Question 6