CBC Grade 1 Kiswahili Exam 2025 · Question 4
Ukimwangusha rafiki yako utamwambia nini?
From Kiswahili — Competence Based Assessment 2025 (SET 9) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Maneno ya Adabu na Heshima
Mwalimu anakusalimu na kukuuliza maswali. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuongea.
4. Ukimwangusha rafiki yako utamwambia nini?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Samahani.
Ukimkosea mtu unasema "Samahani".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.