CBC Grade 1 Kiswahili Exam 2025
Kiswahili — Competence Based Assessment 2025 (SET 9) · Competence Based Assessment 2025 (SET 9) · 14 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 14 questions with answers
- Question 1: Unaitwa nani?Answer: Ninaitwa Amina.
- Question 2: Kwa nini tunasalimiana?Answer: Tunasalimiana ili kuonyesha heshima na upendo.
- Question 3: Rafiki yako akikupa kalamu utamwambia nini?Answer: Asante.
- Question 4: Ukimwangusha rafiki yako utamwambia nini?Answer: Samahani.
- Question 5: Soma kwa sautiAnswer: Amu ataka matatu kuukuu na taa. Kaka ataka takataka na makaa. Kama amu atataka takataka na makaa, kaka…
- Question 6: Jaza pengo: Andika kwa wakati uliopo a) A__kaaAnswer: anakaa
- Question 7: b) A__onaAnswer: anaona
- Question 8: Taja sehemu za mwili zifuatazo (mdomo, pua, sikio) a) mstari wa juuAnswer: C. sikio
- Question 9: b) mstari wa katiAnswer: B. pua
- Question 10: c) mstari wa chiniAnswer: A. mdomo
- Question 11: 1.Answer: mama
- Question 12: 2.Answer: kuku
- Question 13: 3.Answer: maji
- Question 14: 4.Answer: baba