CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 25
Tafuta herufi zinazofanana: (a) M M m m
From Kiswahili — Mid-Term 1 Assessment 2025 (SET 5) · 1 mark · Topic: Kuandika, Herufi
15. Tafuta herufi zinazofanana:
(a) M M m m
Answer
M M na m m
Herufi kubwa M mbili zinafanana, na herufi ndogo m mbili zinafanana.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.