CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025: Mid-Term 1 Assessment 2025 (SET 5)
Kiswahili — Mid-Term 1 Assessment 2025 (SET 5) · Mid-Term 1 Assessment 2025 (SET 5) · 36 questions
Topics: Kusoma, Kuandika, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 36 questions with answers
- Question 1: Soma na sema: (a) MamaAnswer: Mama
- Question 2: (b) BabaAnswer: Baba
- Question 3: (c) MimiAnswer: Mimi
- Question 4: Linganisha picha na majina: Picha aAnswer: B. Mti
- Question 5: Picha bAnswer: C. Nyoka
- Question 6: Picha cAnswer: A. Mtoto
- Question 7: Andika herufi kubwa na ndogo: (a) A, B, C, DAnswer: a, b, c, d
- Question 8: (b) f, g, h, iAnswer: F, G, H, I
- Question 9: Taja sehemu mbili za mwili:Answer: mkono, mguu
- Question 10: Oanisha picha na majina yao: andika Jicho, Mdomo, Kichwa na Pua mahali pake kwenye picha.Answer: Majina yameandikwa mahali sahihi: jicho kwenye jicho, mdomo kwenye mdomo, kichwa juu, pua kwenye pua.
- Question 11: Chora picha ya mguu.Answer: Mchoro wa mguu.
- Question 12: Andika majina mawili ukitumia herufi ulizopewa. a. KAnswer: kiti
- Question 13: b. MAnswer: mama
- Question 14: Linganisha wanyama na majina yao: Picha aAnswer: B. mbwa
- Question 15: Picha bAnswer: C. mbuzi
- Question 16: Picha cAnswer: A. paka
- Question 17: Soma na chora: a. NyumbaAnswer: Mchoro wa nyumba.
- Question 18: b. KitiAnswer: Mchoro wa kiti.
- Question 19: Taja vitu viwili vinavyopatikana darasani.Answer: dawati, kiti
- Question 20: Soma sentensi na jibu maswali: Huyu ni mbuzi. Mbuzi anakula nyasi. (a) Huyu ni nani?Answer: mbuzi
- Question 21: (b) Mbuzi anakula nini?Answer: nyasi
- Question 22: Andika majina ya vitu vitatu tunavyokula.Answer: ugali, wali, ndizi
- Question 23: Chora na uandike jina la vitu viwili vinavyopatikana nyumbani.Answer: Michoro miwili ya vitu vya nyumbani na majina yake, k.m. kitanda na kiti.
- Question 24: Andika neno moja la vitu tunavyovaa.Answer: shati
- Question 25: Tafuta herufi zinazofanana: (a) M M m mAnswer: M M na m m
- Question 26: (b) K K k kAnswer: K K na k k
- Question 27: Linganisha nambari na jina. 1Answer: C. moja
- Question 28: 2Answer: D. mbili
- Question 29: 3Answer: B. tatu
- Question 30: 4Answer: E. nne
- Question 31: 5Answer: A. tano
- Question 32: Andika herufi ya kwanza ya neno "Paka".Answer: P
- Question 33: Tengeneza neno kwa kutumia herufi M na A.Answer: mama
- Question 34: Kamilisha sentensi zifuatazo. a. Jina langu ni ___Answer: Amina
- Question 35: b. Niko darasa la ___Answer: kwanza
- Question 36: Shule yetu inaitwa ___Answer: Shule ya Msingi ya Bidii