CBC Grade 1 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 32
c. Walimu ___ wameimba kwa furaha.
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (SET 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Matumizi ya Huyu na Hawa
9. Tumia huyu au hawa katika sentensi hizi.
c. Walimu ____ wameimba kwa furaha.
- Ahuyu
- Bhawa
Answer
B. hawa
Wengi: hawa.